Naomba msaada kujua ni njia zipi au dawa ambazo anaweza kutumia mtu anatapika nyongi mara kwa mara na mtu huyo ni mgonjwa na vidonda vya tumbo msaada tafadhaali..asante
Dawa ziko nyingi na zinatolewa kulingana na hali yake inayosababisha atapike
Kuna mtu kutapika kunatokana na stimulants za tumbo na zingine ni kutoka kwenye ubongo kwa hiyo treatment ni tofauti
Sent from my iPhone using JamiiForums
So wat do yu advice please..maana kama dawa za hosp kashatumia sana anti acids and they aint working..
Me nashauri apewe kwanza dawa inaitwa ondasentron hii inazuia kutapika kama inatokana na tatizo kwenye ubongo asipoonyesha dalili za kupata nafuu apatiwe metoclopramide na wakati wote wa dawa hakikisheni anatumia orodar kwa ajili ya kubalance maji mwilini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tafta majani ya mti wa mkwaju ule mti unaozaa ukwajuu yachemshe piga kikombe kimoja mara cku 3,ulete mrejeshoNaomba msaada kujua ni njia zipi au dawa ambazo anaweza kutumia mtu anatapika nyongi mara kwa mara na mtu huyo ni mgonjwa na vidonda vya tumbo msaada tafadhaali..asante
Tafta majani ya mti wa mkwaju ule mti unaozaa ukwajuu yachemshe piga kikombe kimoja mara cku 3,ulete mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu. Kiasi gani cha majani? Isije ikawa diluted au concentrate mno ikaleta madhara.Tafta majani ya mti wa mkwaju ule mti unaozaa ukwajuu yachemshe piga kikombe kimoja mara cku 3,ulete mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu. Kiasi gani cha majani? Isije ikawa diluted au concentrate mno ikaleta madhara.
Afike kwa wayalaamu wa magonjwa ya Tumbo wakamsikilize na kumpatia tiba iliyo sahihi..Dawa ziko nyingi na zinatolewa kulingana na hali yake inayosababisha atapike
Kuna mtu kutapika kunatokana na stimulants za tumbo na zingine ni kutoka kwenye ubongo kwa hiyo treatment ni tofauti
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yes ana ulcerzKama ana vidonda vya tumbo halafu umchemshie majani ya ukwaju hakuna rangi ataacha kuona usijaribu. Ajitahidi awe anakula kwa wakati vyakula visivyo na acid hiyo hali itakata.
Sent using Jamii Forums mobile app