Ungesema tu kuwa tatizo hili linakusakama ww kuliko kumsingizia nduguyo!!!Kuna ndugu yangu mkubwa tu serikalini mwanzoni alikuwa safi ila kadri miaka inayokwenda sasa anamiaka 43 ameanza tatizo la kutetemeka akiwa mbele za watu kiasi cha kushindwa kushika kitu hata kijiko.
Msaada wenu unahitajika hata namba za simu za mahali tunaomba.
Anakosa raha sana amekuwa akiniuliza wapi atapata tiba ya tatizo lake nimekosa majibu.
Aache kunywa pembe kali kwa wingi, hasa virob, ndo tiba pekeeKuna ndugu yangu mkubwa tu serikalini mwanzoni alikuwa safi ila kadri miaka inayokwenda sasa anamiaka 43 ameanza tatizo la kutetemeka akiwa mbele za watu kiasi cha kushindwa kushika kitu hata kijiko.
Msaada wenu unahitajika hata namba za simu za mahali tunaomba.
Anakosa raha sana amekuwa akiniuliza wapi atapata tiba ya tatizo lake nimekosa majibu.
HAHAHAHA HAHAHAHAHA IMENIMIDI NICHEKE KWANGUVU KUNA MGENI OFISINI MWANGU AMEBAKIA KUNISHANGAAUngesema tu kuwa tatizo hili linakusakama ww kuliko kumsingizia nduguyo!!!
Acha woga jiamini utapona ugonjwa huo wa kutetemeka na kutoka jasho la kwapa wkt wa kuzungumza mbele za watu!!
Taratibu usije paliwa na mate!!HAHAHAHA HAHAHAHAHA IMENIMIDI NICHEKE KWANGUVU KUNA MGENI OFISINI MWANGU AMEBAKIA KUNISHANGAA
hawe =awe!!!Ni ugonjwa unatokana na umri jinsi unavyoongezeka baada anaweza kupata stroke..ushuri wangu mwambia hawe anaenda kwenye maombi..apunguze kunywa pombe na nyama..ajitahidi kila vyakula vya mboga za majani kwa wingi na matuda,mayai ya kienyeji na maziwa ya kienyeji kwa wingi
Mpendwa .. Samahani miaka 43 ni bado kijana na siyo mkubwa Ukubwa ni over 70!! Tueleze hali halisi tutaweza kukupa tiba..!!Kuna ndugu yangu mkubwa tu serikalini mwanzoni alikuwa safi ila kadri miaka inayokwenda sasa anamiaka 43 ameanza tatizo la kutetemeka akiwa mbele za watu kiasi cha kushindwa kushika kitu hata kijiko.
Msaada wenu unahitajika hata namba za simu za mahali tunaomba.
Anakosa raha sana amekuwa akiniuliza wapi atapata tiba ya tatizo lake nimekosa majibu.
Au ndio ameshaanza kutetemeka? Maana hata hapa yuko mbele za watuUngesema tu kuwa tatizo hili linakusakama ww kuliko kumsingizia nduguyo!!!
Acha woga jiamini utapona ugonjwa huo wa kutetemeka na kutoka jasho la kwapa wkt wa kuzungumza mbele za watu!!