KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Mkuu hata miye nimeacha nyama takribani miaka 12 iliyopita nikila huwa naumwa tumbo vibaya sana na ni only nyama nyekundu,hizi nyingine nagonga kama kawaida na siumwi kabisa,imefikia wakati sasa sina hata ile kiu ya nyama yaani hata ungietia marembo ya namna gani hamu nayo imeniisha kabisa.Mimi pia nina tatzo kama hlo ila ni kwa nyama ya ng'ombe tu.Nimeacha kula nyama hyo kwa miaka 10 sasa.Alaf as long as ni nyama nyekundu ndo kabsaa sitak kusaka dawa kwa kuwa watu wengi now adays wanashauriwa kuacha kula nyama nyekundu.Ila believe me tatzo syo nyama ila ni kemikali fulan iliyopo kwenye nyama hyo ndo inamdhuru nduguyo.That means akinywa hata maziwa yaliyo na kemikal hyo huenda akadhurika.Tatzo kuijua hyo kemikali ndo mpaka uende kwa daktari.Nawasilisha
Mimi pia nina tatzo kama hlo ila ni kwa nyama ya ng'ombe tu.Nimeacha kula nyama hyo kwa miaka 10 sasa.Alaf as long as ni nyama nyekundu ndo kabsaa sitak kusaka dawa kwa kuwa watu wengi now adays wanashauriwa kuacha kula nyama nyekundu.Ila believe me tatzo syo nyama ila ni kemikali fulan iliyopo kwenye nyama hyo ndo inamdhuru nduguyo.That means akinywa hata maziwa yaliyo na kemikal hyo huenda akadhurika.Tatzo kuijua hyo kemikali ndo mpaka uende kwa daktari.Nawasilisha