nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Menopause. Nafikiri unamaanisha ukomo wa HedhiHilo tatizo linaitwa menorrhagia ni vizuri umuone gynaecologist. Inawezekana ikawa ni hatua kuelekea kwenye menopause.
Hapo kidogo sijaelewa, inatoka kidogo kwa muda wote kwani umri wako nizaidi ya 40?mimi inatoka kiduchuuu.
ngoja madaktari waje
Hapana niko 20'sHapo kidogo sijaelewa, inatoka kidogo kwa muda wote kwani umri wako nizaidi ya 40?
NDIYO ni stage inayohusisha hormonal changes na kila mtu inamjia tofauti, daktari atakueleza vizuri na anaweza kukupa dawa za kusaidia.Menopause. Nafikiri unamaanisha ukomo wa Hedhi
Asante pia.NDIYO ni stage inayohusisha hormonal changes na kila mtu inamjia tofauti, daktari atakueleza vizuri na anaweza kukupa dawa za kusaidia.
damu ya kukuHapana niko 20's
inatoka siku3 lakini kidogo hata nikisema nishinde na pedi kutwa nzima nikalala nayo haijai
mimi inatoka kiduchuuu.
ngoja madaktari waje
Unapata maumivu?mimi inatoka kiduchuuu.
ngoja madaktari waje
sanaUnapata maumivu?
Muone daktari ufanyiwe uchunguzi ikiwezekana ultrasound lazima ijulikane kwanini damu haitoki.sana
nitafanya tena.Muone daktari ufanyiwe uchunguzi ikiwezekana ultrasound lazima ijulikane kwanini damu haitoki.
Mwambie anitafute nipate kumtibia.Habari ya mchana, mwenza wangu umri wake (41) huwa anapata maumivu ya wastani anapokuwa kwenye siku zake za Hedhi, hali hiyo humtokea mara chache sana wakati mwingine baada ya miezi 4-6 ndio humrudia tena. lakini kwasasa hali imebadilika hutokwa damu nyingi sana ikiambatana na maumivu ya tumbo, pamoja na hali hiyo mzunguko wake huwa palepale na pia nimara.