Tiba ya hilo tatizo iko hapaWakuu habari za jioni, kama kichwa kinavyojieleza, shemeji yenu anasumbuliwa na damu kutoka puani hari hii inaanza tu wakati anaanza kupiga chafya mfululizo gafla damu zinaanza kutoka lakini baada ya muda zinatoka pia tatizo ili huwa halimtokei mara kwa mara inakaa muda sana hata miezi miwili anaweza akaona tena inatokea. Najua humu kuna wabobezi wa mambo naomba mwenye kufahamu shida hii atoe msaada tafadhali.
Nawasilisha.
Asante sana mkuuTiba ya hilo tatizo iko hapa
Nini tiba ya tatizo la kutokwa na damu puani?
Rafiki yangu ana umri 35 ana tatizo la kutokwa na damu puani zaidi ya miaka 10,tatizo lilianza kipindi ameanza kazi ya fundi wa ujenzi! Tatizo lake ni kwamba Kila aamkapo asubuhi wakati ana anawa uso damu zinatoka puani, wakati mwingine wakati amekaa tu damu zinatiririka!! Naombeni msaada wenu...www.jamiiforums.com
Pole sana mkuu, natumaini litaisha kabisa ilo tatizoMimi huwa inanitokea nikakaa juani kwa Muda Mrefu nilivyokuwa mdogo tatizo lilikuwa linajirudia Rudia kwasababu yakucheza mpira juani.
Umri unavyozidi naona tatizo linazidi kupungua. Kwa mwaka naweza kutokwa mara mbili au Tatu.
Ni miongo zaidi ya mitatu sijaona madhara yake.
Asante sana kwa maelezo mazuri ngoja tutaenda kwa daktari kupata vipimo kwa uchunguzi zaidisababu ni nyingi inawezekana kukawa na ukavu puani namaanisha makamac hamna, vidonda vdogovdogo ndani ya pua, pia magonjwa ya allergies hvyo ni vya karaka haraka ambavyo vnaweza kuchunguzika hata na wew mwenye kama vyote hapo juu kwa kukagua vko saw na shinda inaendelea soma👇
vitu vingine ni:-
vipimo kama MRI(magnetic resonance imaging), FBP(full blood picture), au nasal endoscope kama itapatikana nau ushauri wa baada ya vipimo hivyo ndio utakua wa msingi zaidi
- Magonjwa ya Mfumo wa Upumuaji wa Juu (Upper Respiratory Infections)
- Matatizo ya Figo na Ini
- Magonjwa ya Moyo na Mishipa ya Damu (cardiovascular diseases) kama hypertension
- Matatizo ya Kuganda kwa Damu (Coagulation Disorders)
- Uvutaji wa Sigara na Matumizi ya Dawa za Kulevya
- Magonjwa ya Neoplasia (Tumors)
- na hata Mabadiliko ya homoni yanaweza kuathiri mishipa ya damu, hasa kwa wanawake wakati wa ujauzito au wakati wa hedhi.
Atakua saw tu.