Siwashwi wala nini ila now yameacha ...nmeambiwa n vaginosis n cz ya kustay virgin for a long time yaan n ya kawaida hayaniaffect kitu n fluids ...ila zmekauka now n uchaf wa kaeaidaHujaanza kuwashwa bado?
Usipowashwa inaweza kua hakuna tatizo lolote au inaweza ikawa chlamydia ambayo pia haina dalili zozote
Pia kuna ugonjwa unaitwa trichonomiasis ambao hata condom hazijapewa uhakika wa kuzuia ila unaambatana na muwasho mkali pia harufu mbaya.
Ushauri wangu nenda hospitali haraka ukapime na kutibiwa
Sent from my iPhone using JamiiForums
kama huamn pita kushotoEt mara ya kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakati mzoefu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app