orangutan
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 757
- 774
Habari wapendwa! Ngozi yangu (sanasana mikononi) imekuwa na ukawaida wa kuonyesha mishipa mikubwa na minene ya damu (veins) kiasi kwamba imekuwa ikivuta attention za watu pindi wakiiona mikono yangu haijafunikwa.
Ni kitu ambacho nimekuwa nikiki-experience tangu kipindi hicho nikiwa shule ya sekondari mpaka leo hii nimemaliza chuo. Hali hii haijanifanya nipate complications zozote za kiafya, ila sio siri imekuwa ikinipunguzia confidence pindi ninapokuwa mbele za watu huku nimevaa fulana ya mikono mifupi.
Sometimes hata kugonga msosi na wenzangu huwa naona soo kwasababu kipindi napeleka tonge kwenye bakuli la mboga huwa nakuta natolewa macho na walaji wenzangu wakishangaa nilivotokwa na mishipa minene kama nyaya mikononi. Hii hali hunitokea sanasana hali ya hewa ikiwa na joto kiasi na kitu ambacho kimenifanya nijihisi tofauti na wenzangu. Naomba msaada wa ushauri wa kitabibu kama kuna uwezekano wa kuondokana na hii kadhia. Ahsanteni!