A Biology Laboratory
Member
- Feb 18, 2015
- 58
- 14
Fika pcmc clinic karibu na muhimbili ufanyiwe kipimo cha nerves na kupewa matibabu kipimo hicho kinaitwa baeps yaani brain stem evoked potentials
uko mko gani? Ungekuja tukakupima kwa kutumia audiometer tukajua degree of hearing loss kama ni slight ,mild, moderate severe, severe or profound ili kukushauri uende wapi au utumie dawa gani.
By audiologist.
Hata mimi ningependa kujua mnapatikana wapi,gharama za kupima na namba za simu. mimi nipo Dar es Salaam na Kilimanjaro.mkuu mnapaitkana wapi?...