thehunk
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 529
- 227
jamani nina mwanangu hapa nyumbani tatizo lake ni alisha wahi uguua tb mwaka jana ila tangu apone analalamika kuwa kifua kinamuuma yani kwa physical pain tumejaribu kwenda hospital wakifika kule wana mpima full blood picture, spectrum, na HIV NA ESR .......Katika vipimo vyote kila kitu kiko sawa hana HIV,full blood picture iko kawaida na ESR ni normal 12mm/s na spectrum huwa wanaishia kumwambia kuwa hakuna tatizo sasa je tatizo linaweza kuwa nini kwani tatizo linaendelea kwa kwasisitiza kuwa kifua huwa kinamuuma sana hasa wakati wa baridi kidogo msaada