Kwa madaktari,kuumwa tumbo wakati wa ujauzito ni sign inaleta alert. Kwa maelezo uliyotoa mkuu,ni mafupi sana kuweza kusaidiwa.Pengine undeweza kusema:
1.Ujauzito wa miezi mingapi
2.Maumizu yameanza lini
3.Sehemu gani hasa,chini ya kitovu,juu ya kitovu(chembe ya moyo),tumbo zima nk.
4.Ikiwa kuna damu zinatoka chini(nadhani unaelewa!)
5.Vipi kuharisha,kutapika,hamu ya kula
6.Maumivu wa kati wa haja ndogo
..........
..........
Nk.....nk....nk
Lakini ushauri wa msingi ni kwamba mpeleke mgonjwa hospitali haraka iwezekanavyo,pale utafanyiwa vipimo kisha tatizo litafahamika na mgonjwa atapata tibo.Tahadhari;Maumivu ya tumbo wakati wa ujauzito sio ya kuchukulia kijuu juu!