Pole isije ikawa nitatizo lakienyeji wewe unaenda hospital hayo magonjwa ya kichwa huwa yanamabo mengi embu ujaribu na watumishi wa Mungu wakuombee huwezi jua. Pressure umecheki?
Jamani mimi nina tatizo la kuumwa kichwa sana nimekua mtu wa kutembea na kiboksi cha panadol,nimepiga xray ya kichwa lakini sina tatizo ila naumwa sana sana kichwa.
mkuu kimeanza lini? pole mimi mwezi uliopita nilipata tatizo kama hilo nilipima kila aina ya ugonjwa bila bila panadol hazi saidii,labda diclopal na kuna dawa inaitwa tramadol nilikunywa moja mara mbili kwa siku na usiku variam kwa siku tatu ndo nikapata nafuu jaribu inaweza kusaidiaa