Tatizo la kuumwa kwenye joint ya za miguu na mgongo

Joined
Jul 24, 2014
Posts
28
Reaction score
7
Jamani naomba mnisaidie kuna ndugu yangu anasumbuliwa sana na joint za kiunoni, pamoja na mgongo hadi anashidwa kutembea ameshapima kila aina ya vipimo include HIV hakuna kitu, tatitzo ni kiuno na joint zake hadi anshidwa kutembea please wadau naombeni msaada
 
Tuwasiliane kwa anuani ipi?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hallo Tyupa jamani weka number yako ya simu nikutafute mkuu, ya kwangu ni 0787522177 please nicheki
 
Pole sana. kama bado hujapatiwa utatuzi wa tatizo hili ntafute kwa mobile no +255 689 417 472
 
Yawezekana ana ugonjwa unaitwa Somatization disorder! Dalili ni maumivu yasio na maelezo kiphiziolojia lakini mgonjwa anaumwa!
Google; angalia dalili za huo ugonjwa kama zinaendana na zake niinbox nikuekekeze pa kupata msaada kwani matibabu ni bure kabisa!
 

pole sana rafiki. Call me through 0759077008 tuangalie jinsi ya kumsaidia ndugu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…