mwl frank R I P Joined Jul 11, 2011 Posts 78 Reaction score 27 Dec 17, 2011 #1 siku za karibuni watoto wenye umri chini ya miaka 15 wana matatizo ya macho na kuwa lazimu kuvaa miwani,nini chanzo chake hasa wanafunzi kwa primary na secondary,inatisha!wataalamu saidieni hii shida.
siku za karibuni watoto wenye umri chini ya miaka 15 wana matatizo ya macho na kuwa lazimu kuvaa miwani,nini chanzo chake hasa wanafunzi kwa primary na secondary,inatisha!wataalamu saidieni hii shida.
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Dec 18, 2011 #2 Wataalam watusaidie, mdogo wangu anavaa miwani halafu ndio kwanza yupo darasa la tatu.