Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Wakuu poleni na majukumu, naomba kwa mwenye kujua chanzo au tiba ya kuvimba kwa miguu wakati wa Safari. Mke wangu anasumbuliwa na tatizo hilo kila anaposafiri, akikaa kwenye gari zaidi ya masaa 6 ni lazima akione cha moto kwa miguu kuvimba na kuuma.
Msaada tafadhali.asanteni sana
Msaada tafadhali.asanteni sana