Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Kila baada ya muda awe anasimama,kama vile kila baada ya saa moja anasimama kama dakika 15 kisha anakaa tena,
Sitting for a long time without moving,will cause blood to pool in leg veins.
Wataalamu watakuja kukupa maelezo zaidi.
Nenda kwenye Pharmacy ulizia support stockings zinasaidia blood circulation na pia kila akisafiri awe anasimama na kutembea kwenye basi au kama ni usafiri binafsi kuwepo na muda wa kusimama na kunyoosha miguu na kutembea nje kidogo.
Pia ni muhimu kucheki afya yake kama ana matatizo ya kiafya au unene wa kupitiliza.
Wenye manyama uzembe ndiyo hukumbwa na kadhia hii.Mi tumiguu twangu sijui tumekauka...
Yaan hata iwe masaa 24 utaikuta vilevile.Ila macho sasa,yanafika yamevimba kama jipu nadhani ni kwa sababu hata iwe usiku nayalazimisha yatazame na yaone nje🤒
🤣🤣🤣Ungejua nilivyo chibongeWenye manyama uzembe ndiyo hukumbwa na kadhia hii.