Osaba
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,937
- 781
Wadau nisaidieni,gari yangu inatatizo la kuvujisha ATF kwenye kikombe kinachobeba star joint na drive shaft ya kulia,nimebadili kikombe mara mbili lkn huwa kinavuka na kupelekea ATF kuvuja na kupungua,nifanyeje au tatizo hili nilisolve VP?Gari ni Toyota Carina engine 5A