aloveragel
Member
- Feb 21, 2012
- 55
- 16
Kutibu Kunuka Mdomo Mtu
Mara nyingi mtu huwa hajijui kama anatoa harufu mbaya mdomoni mwake, hii ni kwasababu ya cells wa pua huwa tayari washajikubalisha na ile harufu ya mdomo na aghlabu humfanya mtu asijijue kuwa yeye anatoa harufu mbaya.
Kuna sababu nyingi zinazomfanya mtu atoe harufu mbaya ya mdomo miongoni mwao ni:-
Upungufu wa usafi
Mara nyingi mtu mwenye kutoa harufu mbaya huwa hashughuliki katika usuguaji mzuri wa meno,Hupiga mswaki juu juu tu.
Uutumiaji wa tumbaku na vitu kama hivo
Mtu mwenye kutumia tumbaku hufanya mdomo wake uwe na harufu mbaya hii ni juu ya bakteria wanaojijenga katika meno.
Matatizo ya Sinus (mvimbo/mzibo wa ndani ya pua)
Tatizo hili linaweza kumkuta mtu yeyote yule kwani maradhi haya yanatokana na allergies au enviromental situation.
Mara nyingi pua huziba na kusababisha makamasi kupita katika njia ya koo na huifanya koo kutoa harufu mbaya ambayo hupitia mdomoni.
Tonsis
Maradhi haya pia husababisha maradhi ya kutoa harufu mbaya mdomoni.
Na sababu nyengine ambazo husababisha maradhi ya harufu mbaya ni kama diabetes, kidney failure, Chronic Bronchitis & Decay teeth.
Lakini kama ilivyo kuwa hakuna maradhi bila dawa lakini dawa ya maradhi haya ni usafi wetu sisi wanaadamu.
Hizi ni njia ambazo zitamsadia mtu kuondosha harufu mbaya ya mdomo:
Mtu anapopiga mswaki ni lazima asugue ulimi wake mara tatu na kawaida ya kupiga mswaki upige kwa muda wa dakika 15.
Pia ni muhimu kwenda kumuona daktari wa meno muda baada muda
Tumia mswaki mmoja kwa muda wa miezi 3 tu baada ya hapo badilisha mswaki. Hii ni kuepuka kuumiza meno na mafizi kwa kutumia mswaki kwa muda mrefu.
Kila baada kumaliza chakula piga mswaki laa kama upo sehemu ambayo huwezi kupiga mswaki basi sukutua kinywa chako hadi uhakikishe huna mabaki ya chakula.
Kula Carrot kwa wingi baada kumaliza chakula
Kunywa maji mengi
Tumia mouthwash kwa kusukutua na hakikisha unapiga mswaki kabla ya kwenda kulala.Mkuu Kafuta Tupo hapa Ma Great Thinker.
Nina girlfrnd wangu ana umri wa miaka 25 lakin ana tatizo la kunuka mdomo mpaka kufanya romanc inakua shida.Yaani nashindwa kuelewa, kwa sbb ni msafi sana anasafisha kinywa kila mara inavyotakikana lkn wapi,akilala na kuamka ndiyo kabisa.Kiukweli sijawahi kumwambia coz naona vibaya nifanyeje?
Naomba ushauri wenu na kama kuna doctor nasubiri ushauri wake.Samahani kama sijaweka sawa maneno yangu,ila naamin ntakuwa nimeeleweka.
Mkuu Josephine03 dawa zangu hata uki google huwezi kupata huko ninako zipata si rahisi mtu kuzipata Dawa zangu ni za asili na zinatibu ile mbay hiyo niDah hii itakuwa bomba sana alafu sijawahi isikia yaelekea haijulikani asante sana mtaalamu maana nondo zako yaelekea unachimba kwakuwasaidia watu
cha kwanza nakupongeza kwa kuwa muwazi, kujua tatizo na kutafuta suluhishiWadau mimi nasumbuliwa na tatizo la kutoa harufu mbaya mdomoni napiga mswaki mara kwa mara nasugua kinywa vizuri sana lakini nikikaa baada ya muda ukiongea harufu mbaya inatoka inanikera sana naombeni tiba sahihi ya tatizo hili kwa sasa natafuna sana banzoka angalau kupunguza harufu nisipotafuta banzoka hali ile ile naombeni msaada wenu