Tatizo la kuwa na hasira hata kwa jambo dogo!

Tatizo la kuwa na hasira hata kwa jambo dogo!

Loy MX

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
1,253
Reaction score
312
Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa mtu mwenye hasira nyingi tofauti na zamani.

Mtu anaweza kunikorofisha kwa jambo dogo ila mimi nikalichukulia kwa mapana sana.

Sijajua tatizo ni nini ila hiki kitu nakuta kimenitokea tu.

Je hili jambo linasababishwa na nini?

Ipi suluhu yake na kuna dawa yeyote ya kutatua tatizo hili ili hali yangu irudi kama zamani?

Msaada tafadhali.
 
Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa mtu mwenye hasira nyingi tofauti na zamani. Mtu anaweza kunikorofisha kwa jambo dogo ila mimi nikalichukulia kwa mapana sana.. Sijajua tatizo ni nini ila hiki kitu nakuta kimenitokea tu.
Je hili jambo linasababishwa na nini?
Ipi suluhu yake na kuna dawa yeyote ya kutatua tatizo hili ili hali yangu irudi kama zamani?
Msaada tafadhali.

Pole sana! Jaribu kula ndizi mbivu mara kwa mara kwa kiasi fulani inasaidia kupunguza hali uliyokuwa nayo, kwa maelezo zaidi fungua link hii
20 Minutes to Less Stress - Banannas
 
Badilisha attitude yako na matazamio yako juu ya wengine. Tambua ni watu wachache sana wananuia kukufurahisha. Infact mtu akikuudhi muone anachekesha manake unajia hawezi kufanikiwa kukuudhi.
 
Kaka punguza soda na bia hasa cokes, pepsi, coca, Azam cola na nyingine za zote za ges nyingi, kunywa maji kwa wingi, nilikuwa na tatizo kama hilo ila kadri siku zinavoendal linanitoka
 
uwe unapita humu JF mara kwa mara na taratibu hasira zako zitaanza kupungua kwa sababu JF is never boring!! But be carefull it is very addictive..
 
Kaka punguza soda na bia hasa cokes, pepsi, coca, Azam cola na nyingine za zote za ges nyingi, kunywa maji kwa wingi, nilikuwa na tatizo kama hilo ila kadri siku zinavoendal linanitoka

Mkuu zamani nilikuwa natumia sana vitu kama bia na kwa miaka ya ya hivi karibuni nimepunguza sana naweza kunywa mara moja kwa miezi miwili au mitatu. Lakini Kinachonishangaza ni kwa jinsi ninavyopata mawazo baada ya kuudhiwa au kugombana na mtu yeyote kuna muda nakosa hata usingizi kabisa..
 
Tatizo hilo pia laweza kusababishwa na kutoridhika/kufika kileleni wakat wa ufanyaj mapenzi, heb chunguza na hilo pia
 
Tatizo hilo pia laweza kusababishwa na kutoridhika/kufika kileleni wakat wa ufanyaj mapenzi, heb chunguza na hilo pia

Kwenye swala la kugegedana halina tatizo kabisa wife anaridhika kabisa hata mimi naridhika kabisa..
 
usisoangalie movie za kusikitisha na kuudhi. usipende kufuatilia habari za kuudhi. angalia movie za kuchekesha, katoon, stori za kufurahisha n.k.
KUMBUKA:
hasira za nyumbani usizipeleke kwenye daladala. mia
 
jitahidi kuridhika na kile upatacho ,kila upatacho kione kama umependelewa yaani hukustahili ,ona kuwa Mungu anakuhurumia sana kukuweka hai na wastahili kuifurahia kila iitwapo leo maana ni zawadi ya pekee kuiona kila iitwapo leo.
huna haja ya kutegemea makuu ,kila upatapo hasara ya kitu chochote usikasirike wala kujilaumu,jipe matumaini kuwa wew e ndio ulistahili na sio mwingine na hapo utajikuta kila siku unapata raha badala ya hasira
 
usisoangalie movie za kusikitisha na kuudhi. usipende kufuatilia habari za kuudhi. angalia movie za kuchekesha, katoon, stori za kufurahisha n.k.
KUMBUKA:
hasira za nyumbani usizipeleke kwenye daladala. mia

Hii nadhani itakuwa ni sababu mojawapo kwenye swala la movie utakuwa right mkuu. Huwa nakesha nikiangalia documentary za kusikitisha sana ngoja niachane nazo nione matunda yake...
 
Back
Top Bottom