Tatizo la kuwa na hasira wakati wa hedhi

emback

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
444
Reaction score
372
Ndugu zangu wa jukwaa hili la afya...samahani kwa usumbufu.
 

pole sana ndugu sio wew pekeako mwenye hili tatizo hii hutokea kwa wanawake wengi tusubir wataalam waje hapa watufafanulie kwa kina
 
pole sana ndugu sio wew pekeako mwenye hili tatizo hii hutokea kwa wanawake wengi tusubir wataalam waje hapa watufafanulie kwa kina

Ahsante dada angu! But ni changamoto kubwa sana! Ngoja tusubili waje wataalam!
 

Hakuna Lolote bali ni Stress tu Hizo Zinawasumbua na Kwa Kukusaidia tu Ukiwa ktk MP Yako na Unajijua Kuwa Huwa Unakasirika basi Maji Yasikae Mbali na Wewe Kwani Maji ni Tiba Bora na Nzuri Mno ktk Kukata Hasira.
 
hii pia inatokana na kujihami watu wasikugundue upo ktk hali gani, lakini jaribu kutumia maji mengi ya vuguvugu yatakusaidia kukata hasira lakini pia husaidia kuondoa ule uchafu kwa haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…