USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Kama umewahi kufika Dodoma utakubaliana na mm kuwa kuna kero ya nzi wengi sana kila sehemu hasa wanaouza vyakula na kwenye msongamano wa watu, nzi ni mdudu mchafu sana
Pia soma: Kwanini maeneo mengi ya biashara ya chakula huwa wanishindwa kudhibiti nzi?
Ukifika Dodoma licha ya sifa zake za kukua wa mji kuna tatizo la nzi wengi sana kuliko maeneo mengine nchini, nakumbuka miaka ya nyuma nilishindwa kwenda chako ni chako kula nyama kwa kuona kero ya nzi pale na nilidhani ni sababu ya nyama, hadi baadhi ya watu utaona wanazongwa na nchi machoni as if wana vidonda.
Nzi wengi wako mitaani, kwenye migahawa, hoteli, maofisini, sokoni ndio usiseme na hadi bungeni unaweza kuona wadudu hao walikatiza.
Je, mamlaka zimeshindwa kutokomeza hao wadudu wachafu wanaotoka kwenye kinyesi na uchafu kila sehemu.