Tatizo la kuwashwa au kuvimba mwili baada ya kula nyama yoyote kasaro ya nyama kuku

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
16,879
Reaction score
31,253
Jamini, hili tatizo linatokana na nini na nini tiba yako.

Nina rafiki zangu wawili wana tatizo hilo.
 
Isije kua gouts hizo if nimespell as it is waendw hospital
 
Mabadiliko ya mwili, utaweza kuanza kula umri wa miaka 20 na kuendelea. Anza mchuzi changanya na maharage kwa miezi 3 then utaendelea kula nyama. Niliweza na ss nakula bila tatizo.
 
allergy hiyo.... akishindwa kuicontrol aache tu ale kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…