liwaya JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 2,384 Reaction score 1,648 Feb 21, 2017 #1 Wanajamvi naomba msaada wa kitabibu kwani mwili unawasha sana kwa takribani mwezi sasa hadi natokewa na kama uvimbe usiku na mchana. Sijaelewa nifanye nini na tatizo huenda ni nini. Naomba ushauri
Wanajamvi naomba msaada wa kitabibu kwani mwili unawasha sana kwa takribani mwezi sasa hadi natokewa na kama uvimbe usiku na mchana. Sijaelewa nifanye nini na tatizo huenda ni nini. Naomba ushauri
django2017 Senior Member Joined Feb 1, 2017 Posts 146 Reaction score 58 Feb 21, 2017 #2 Aina ya uwashwaji,
chacha mwewe Member Joined Sep 23, 2016 Posts 54 Reaction score 28 Feb 21, 2017 #3 Huku naona siku hizi hakuna msaada mkuu.
bryan2 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2016 Posts 3,323 Reaction score 4,679 Feb 21, 2017 #4 pole mkuu kuna sababu nyingi zinasababisha mwili kuwasha kama vile÷Allergic Reaction,Dermatitis(Skini infection) au Worms(Minyoo) Cha Msingi jaribu kwenda hosp ya karibu dr akucheki.
pole mkuu kuna sababu nyingi zinasababisha mwili kuwasha kama vile÷Allergic Reaction,Dermatitis(Skini infection) au Worms(Minyoo) Cha Msingi jaribu kwenda hosp ya karibu dr akucheki.