Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama unawashwa kwa ndani nenda kafanye URINARY ANALYSIS,,,,,,,,,,,,,Hilo tatizo nilishawai kukumbana nalo nilienda kupima nikaambiwa nina usaha kwa ndani then nikapewa dawa likaisha.
Ulipewa dawa gani mkuu?
Ni vyema ungeenda kupima kwanza ujue...tatizo alafu ndio tabibu akupangie dawa....hayo mambo ya kukopy dawa sio mazuri.....mkuu.
Nshazunguka sana mkuu, kwenye Hutu tuhospital twetu nabuliwa Uti na kupewa common antibiotics tu.sasa najaribu kuuliza wenye uzoefu tu, nimekupata wewe so nisaidie Nita decide
kumbuka mkuu sababu za kuwasha huko ikulu zipo nyingi sana na zinatofautiana....ndio maana nasisitiza kwanza ukamuone daktari then baada ya uchunguzi ndio atajua dawa gani inakufaa.....
Nilikuwa napenda kujua tatizo la kuwashwa ndani ya uume pindi unapomaliza tendo la ndoa,unapojisaidia haja ndogo na hata ukiuminya linasababishwa na nini na tatizo linaitwaje?
Nilipewa Cipro na Diclofenac mkuuUlipewa dawa gani mkuu?
Wazee mbn hata mimi hili tatizo linanisumbua sielew shida nini?Nilikuwa napenda kujua tatizo la kuwashwa ndani ya uume pindi unapomaliza tendo la ndoa,unapojisaidia haja ndogo na hata ukiuminya linasababishwa na nini na tatizo linaitwaje?