Tatizo la kuwashwa

mafutamingi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
2,773
Reaction score
2,183
Jamani wana ukumbi nina tatizo la kuwashwa mwili na ninajikuna sana hasa kwenye mapaja na sehemu za siri kwa juu. Tatizo hili ninalipata hasa saa za usiku. Nimepima damu, choo na mkojo na nikaambiwa sina tatizo lolote. Naomba ushauri kuhusu tatizo hili
 
kah pole. Muone daktari wa ngozi (dermato-vereneologist)
 
kama ni usiku huenda una allergy na mashuka, blanketi bukta unayolalia au kitu chochote unachotumia usiku hebu jaribu kucheki hilo, pia unaweza ukaenda pharmacy ukapata antihistamine maana histamine zinakuwaga nyingi usiku, ila cheki zaidi hizo boxer maana hata maeneo yenyewe ulioeleza yananiaminisha hilo
 
Inawezekana una minyoo mkuu, jaribu kutumia dawa za minyoo
 
Nawashukuru nyote kwa ushauri wenu. Nitajaribu kutekeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…