Tatizo la kuzimia kwa dakika chache linatokana na nini?

Tatizo la kuzimia kwa dakika chache linatokana na nini?

diana abela

Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
33
Reaction score
10
Ndugu zangu naomba msaada wa ushauri au tiba kwa anayejua
Ninaye kaka yangu, tangu akiwa mdogo hakuwahi kupatwa na tatizo la kuzimia
Tatizo ili limejitoka kwa mwezi huu imetokea mara mbili, na yeye anasema hajihisi kuumwa sehemu yoyote tatizo hili linamtokea akiwa anaendelea na shughuli zake
  • Mara ya kwanza alifika nyumbani akiwa na pikipiki wakati anapaki tu alianguka na akuchukua hata dakika mbili akawa amejitambua
  • Mara ya pili ameenda haja ndogo usiku choo cha ndani hakuna aliyeshuhudia maana tulikuwa tumelala ila yeye anasema amesikia kama nguvu zinamhishia mara akajikuta kaanguka huku akiwa amejiegamiza kwenye ukuta
Hadi sasa hatujui ni ugonjwa gani? na unatokana na nini?
 
Back
Top Bottom