Unalala na mtu 24/7 + Kero, maudhi??/ What do you expect?????
Unalala na mtu 24/7 + Kero, maudhi??/ What do you expect?????
Kwa magomvi ya kawaida, hii si namna sahihi ya kutatua tatizo...Lakini wakati ambapo mambo yamekuwa juu sana, labda mama anajua kuwa baba anatembea na mwanamke mgonjwa mahala, kwa hali hiyo mi siwezi laumu exile hiyo!
Bora kila mmoja ageukie upande wake!!Kuhamishana chumbani kunaongeza tension!!