Ana haki ya kutafuta hivcho "cheo" , shida ni namna anavyokifuta hicho cheo/Uenyekiti bila kuangalia matokeo ya hicho anachokifanya kwa ustawi wa chama chake!
1. Amekipasua chama vipande 3.......Lisu, Mbowe na wa kujitoa Chadema na kuangalia mabo yao
2. Amwanufaisha CCM/washindani wao wa kisiasa kwa kutokuwa na mshindani mwenye nguvu.
3. Confrontationa siasa kwa Tanzania zitaleta madra zaidi kuliko faida maana hakuna wa kuhimili "risasi", virungu vya polis kwa sasa Tanzania!
Huwezi kufaulu na matamko yako ya confrontation politics kwa sababu
1. Uko peke yako except Maria spaces , a small group of diaspora, na so called sauti ya watanzania ambao ni maneno maneno tu ya mitandaoni na fake ID na hawatakuja barabarani ukiitisha maandamano
2. Hakuna, kwa hulka ya watanzania , hakuna atakayekuja barabarani apigwe risasi..... na ndiyo maana wewe familia yako umepeleka USA na Belgium