Tatizo la macho, joint za miguu na vidonda tumbo

Aventus

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
2,011
Reaction score
2,168
Nina tatzo la vidonda vya tumbo kwa muda wa miaka miwili lakin toka nimepata maradhi hayo na mwaka huu yameambata na mengine.

Kama nikiwa na msongo wa mawazo basi tumbo linanisumbua likiambatana na maumivu makali ya kiuno. Pia nimepata tatizo lingine la macho ambapo nilikuwa na maumivu makali sana kutoka na mwanga.

Na sasa nimepatiwa miwani ya macho +5 flash light, lakini nikivua hata sekund 20, kesho yake naamka na maumivu makali ya kichwa.

Pia nimekuwa na tatizo la joint za miguu kuishiwa nguvu.sasa sielew tatizo ni nini mana kuna baadhi ya vipimo nimefanya na nikaonekana niko sawa.

JE VIDONDA VYA TUMBO INAWEZA IKAWA NDIO SABABU.

Nahitaj msaada tafadhali.
 
dawa ipo mkuu ni virutubisho vinauzwa package 50,000 unaweza nichek kwa 0719 252523
 
Me natumia juice ya matembele kwa ajili ya vidonda vya tumbo na vinatulia mwaka mzima but sijui kwako iyo steji uliyofikia.
 
acha viroba
 
Mkuu nione mimi nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Thanks guys kwa joints nmegundulika nina rheumatism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…