Tatizo la macho kuvimba na kuwa mekundu ukiamka kutoka usingizi

kidonge ki1

Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
15
Reaction score
3
Wana jamvi msaada,leo asubuhi na amka macho yamevmba nakua mekundu yakiwasha na kutoa machoz'na kuna tetesi kwamba mimi sio wa kwanza hata pia jiran yetu nae wiki ilopita alikua na tatizo kama langu ila hakwenda hospital bali aliosha kwa kutumia sabun na baada ya siku tano jicho lake likakoma tatizo hilo,je inawezakua ndo RED EYES nahitaji pia ufafanuzi nn maana ya RÉD EYES
 
Kwanza ndugu yangu nakushauri uwaone madaktari wa macho haraka iwezekanavyo na huko huko utapata jibu la hilo swali lako la kutaka kujua maana ya RED-EYES!!!!!!!!
 
hata mimi ninahili tatizo na sio la siku monastery ni takribani miezi miwili sasa...
 
Ulipata majibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…