Tatizo la macho linajirudia mara nyingi

Tatizo la macho linajirudia mara nyingi

mimi ela

Senior Member
Joined
Nov 9, 2017
Posts
162
Reaction score
92
Tutafute ela,

Kama ilivyo ada wanajopo pamoja na vyuma kuwa kigezo cha kuendelea kuuza nyago au kuwafanya watu baadhi wadange hapa mjini na kwingineko,sio siri mziki tunaufeel kulingana na midundo..iko waziii

Basi niende kwenye tatizo binafsi ambalo silipatii picha na huwa linajirudia sana,,,tatizo la macho kila nikijaribu kufungua waleti,hapo walet ni ya Gucci mpyaaa!!
Kila nikifungua wallet sioni kabisa sielewi kwanini na huwa napona kwa muda na nikiona kwenye wallet mbona Vegas naiona bongo,

Kimbembe sasa ni pale nijaribupo kufungua zaidi na zaidi hahhaa tatizo linakua palepale la kutokuona ela
Ushauri jameni

Mimi ela
 
Back
Top Bottom