Kwa mwenye uzoefu ama aliyewahi kuugua ugonjwa wa macho katika upande wa optic nerve na kumfanya kuwa na uoni hafifu anisaidie uzoefu aliobao kuhusu ugonjwa huo.mimi pia nina matatizo hayo huu mwaka wa 4

Pole sana na matatizo ya macho.Mimi nahusika na mambo ya afya ila kuhusu macho,naweza nikaku connect na mwenzangu mwenye uzoefu wa area hiyo hapo akakusaidia.nipigie namba 0659143784