TV huwa siangalii Mkuu ila huwa nachati sana ingawa sio kwa muda mrefu.Hua unatumia muda gani kuangalia TV au kuchat kupitia simu yako?
Hua unatumia muda gani kuangalia TV au kuchat kupitia simu yako?
Ni kweli, ila sina uelewa sana, bali kuchat kwa muda mrefu huweza kusababisha matatizo mengi tu, ila chamsingi unatakiwa kukaa mbali kidogo na screen ya simu yako, angalau nchi 15 ili kuepuka miale ya mwanga wa simu yako.Mkuu umeishia njiani hebu nenda deep kidogo nini athari za kuangalia tv au kuchat muda mrefu??..binafsi ninachati sana kwa muda mrefu na sasa nina tatizo la macho ..kama una uelewa wa kuepuka hilo tatizo please share nasi