Tatizo la mafua lisiloisha

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,770
Reaction score
954
Assalam wakuu
kuna Mtanzania kazaliwa vyema tu ila baada ya kudondoka kitovu alisafirishwa toka mkoa mmoja hadi mwingine akiwa na mama yake lengo ni mamamtu apate huduma baada ya uzazi.
safari yao ilitumia saa 5 hadi kufika kwa usafiri wa basi barabara ya vumbi. baada ya kufika dogo huyo akaanza kushambuliwa na flue nadhani sababu ya vumbi barabarani.
ila kinachoshangaza ni kuwa tangu yaanzae hayajawahi pona kabisa though yanapungua. dogo ana miezi 4 now anatumia dawa ila mambo bado bilabila:
je nini yaweza kuwa tatizo?
je ni hali ya kawaida hii?
je yaweza kuwa ana amepata infection yoyote?
NAWSILISHA NIKISUBIRI TECHNICAL ADVICE/REASONING
 
Mara kadhaa nimewahi kuona watu wenye mafua sugu kila saa utamkuta ana mafua sijajua huwa nini shida.
 
Mara kadhaa nimewahi kuona watu wenye mafua sugu kila saa utamkuta ana mafua sijajua huwa nini shida.
Hata mimi ni tokea nimepata akili mpaka nimezoea,lakini sidhani kama kuna kitu kingine zaidi ya allergy,kwa mimi vitu vinavyosumbua ni ubaridi,baadhi ya perfumes,sabuni,petroli,vumbi na moshi...
 
Pole sana Mkuu nashukuru Mungu hiyo hali sina na mafua ambayo niliwahi kuugua kwa muda mrefu na ya hatari sana nilikuwa darasa la 5.

Toka hapo nimekuwa mtu wa Tizi sana mafua hayana nafasi.
Hata mimi ni tokea nimepata akili mpaka nimezoea,lakini sidhani kama kuna kitu kingine zaidi ya allergy,kwa mimi vitu vinavyosumbua ni ubaridi,baadhi ya perfumes,sabuni,petroli,vumbi na moshi...
 
Mimi si dakitare lakini nmewahi sikia kuwa "persistent flues" appear as early symptoms of H.I.V
 
Inawezekana alikunywa maji ya machafu toka kwa mama wakati wa kujifungua au yalipita puani hayo maji
 
Yap ,wanasema immunity yako inaposhuka unakuwa mwepesi sana wa kuathiriwa na magonjwa kama hayo!
(Low immunity makes someone highly susceptible to persistent flues, come rain come shine!
Nimekusoma ndugu,kuna mtoto mmoja tbt huko,haponi mpk leo ndo maana nimepata shida kidogo, si unajua tena
 
Nilipokuwa darasa la 4 niliambukizwa mafua yaliokaa miaka kama saba, sikuwa natumia dawa ila, sahv kupata mafua ni vigumu sana na nikipata yanakaa siku moja au mbili yanaisha yenyewe
 
Inawezekana alikunywa maji ya machafu toka kwa mama wakati wa kujifungua au yalipita puani hayo maji
some how true mana alikunywa then wakamcheulisha but alicheua pitia mdomo au pua hapo sijuwi but sure alikunywa na kucheua, suluhisho ni nini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…