Waziri alishatumbua,maji Bado? 😂😂😂😂Mnaopeta na maji kila siku habari zenu?.
Tatizo la maji jijini Mwanza bado hali ni tete.Yaan nina miezi miwili sioni tone nyumbani kwangu.Baada ya Waziri Kuja Mwanza nilijua tunaenda kumpeleka ila ni kama hakuna kilichofanyika.Najiuliza maswali yafuatayo;
1.Ilikuwa siasa?
2.Timu iliyoundwa na Mh Aweso bado inajitapanga wananchi tuwe na matumaini?.
3.Waziri anajua kama kata ya Mhandu maeneo yote ya Machinjioni,Kwa Kibeshi,Kakebe n.k hakuna maji?.
4.MWAUWASA wanahangaikia hizi changamoto kweli au washatulia baada ya Waziri kupita?.
Wananchi tunaishi expensive life Kwa kulazimishwa Sana imagine tunanunua dumu moja la maji 700.
Mh waziri wa Maji naomba ufatilie upatikanaji wa Maji Mitaa hiyo hakuna haja ya kumgombanisha Raisi na wananchi wake.
@Moderators naomba mmtag Waziri Aweso kama yupo humu.
Shitakini Kwa WaziriMnaopeta na maji kila siku habari zenu?.

Kwakweli inafikirisha Sana mkuu.So sad. Siyo sawa kabisa ninyi kukosa huduma Bora ya maji safi na salama ukizingatia kuwa Ziwa kubwa sana Africa ( Victoria) lipo sebuleni kwenu. Labda waziri mwenyewe awajibike sasa ili aje mwengine kutatua tatizo.
Kumbe ndio muelewe kwamba shida sio kutumbua Bali Wanasiasa wapumbavu kabisa Huwa wanatafus wa kumuangushia mzigo la uzembe wao wa kutokutoa pesa za mradi.Maji bado mkuu.
Hata ya majaribio au kuzuga hakuna.
Duuh Kazi kweli kweli.21st century bado maji ni tatizo kwa nchi iliyojaa maziwa, mito, bahari na chemichemi za kutosha.
Tunadhihirisha wazi watanzania ni watu wapumbavu na wehu.
Ka nchi kadogo kama Singapore 🇸🇬 tayari kana chuana vikali na nchi zingine zilizo endelea.
Sisi bado tunalia lia na maji!!
Barabara ndio zime kongoroka vibaya mno. Na hakuna pesa za kutengeneza.
Kweli miafrika ni Minyani!!
Ni huzuni kubwa Sana.Kumbe ndio muelewe kwamba shida sio kutumbua Bali Wanasiasa wapumbavu kabisa Huwa wanatafus wa kumuangushia mzigo la uzembe wao wa kutokutoa pesa za mradi.
Umepanga au uko kwako nikutatulie tatizo lako katika majiMnaopeta na maji kila siku habari zenu?.
Tatizo la maji jijini Mwanza bado hali ni tete.Yaan nina miezi miwili sioni tone nyumbani kwangu.Baada ya Waziri Kuja Mwanza nilijua tunaenda kumpeleka ila ni kama hakuna kilichofanyika.Najiuliza maswali yafuatayo;
1.Ilikuwa siasa?
2.Timu iliyoundwa na Mh Aweso bado inajitapanga wananchi tuwe na matumaini?.
3.Waziri anajua kama kata ya Mhandu maeneo yote ya Machinjioni,Kwa Kibeshi,Kakebe n.k hakuna maji?.
4.MWAUWASA wanahangaikia hizi changamoto kweli au washatulia baada ya Waziri kupita?.
Wananchi tunaishi expensive life Kwa kulazimishwa Sana imagine tunanunua dumu moja la maji 700.
Mh waziri wa Maji naomba ufatilie upatikanaji wa Maji Mitaa hiyo hakuna haja ya kumgombanisha Raisi na wananchi wake.
@Moderators naomba mmtag Waziri Aweso kama yupo humu.
Tuna viongozi wenye upeo mdogo wa kutatua matatizo na waliojaa tamaa na uchu wa madaraka21st century bado maji ni tatizo kwa nchi iliyojaa maziwa, mito, bahari na chemichemi za kutosha.