The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,389
- 6,665
Kama utaweza fanya hili jambo. Tafuta mkopo au kama mkopo changamoto nenda dukani na angalia tank la maji kubwa ambalo kipindi choto cha ukame litakusaidia.Nipo kwangu
BIla kusahau Mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa na mkurugenziHivi diwani wa Mhandu na mbunge wa Nyamagana wanafanya nini ofisini kama hawashughulikii tatzo hili sugu kwa wananchi wake?
Hakika mkuu, tuna viongozi wa ovyo sanaBIla kusahau Mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa na mkurugenzi
Kelele nying kaz hakuna wazir hamna kaz ni siasa tu hii ni failure kwa so called governmentMnaopeta na maji kila siku habari zenu?.
Tatizo la maji jijini Mwanza bado hali ni tete.Yaan nina miezi miwili sioni tone nyumbani kwangu.Baada ya Waziri Kuja Mwanza nilijua tunaenda kumpeleka ila ni kama hakuna kilichofanyika.Najiuliza maswali yafuatayo;
1.Ilikuwa siasa?
2.Timu iliyoundwa na Mh Aweso bado inajitapanga wananchi tuwe na matumaini?.
3.Waziri anajua kama kata ya Mhandu maeneo yote ya Machinjioni,Kwa Kibeshi,Kakebe n.k hakuna maji?.
4.MWAUWASA wanahangaikia hizi changamoto kweli au washatulia baada ya Waziri kupita?.
Wananchi tunaishi expensive life Kwa kulazimishwa Sana imagine tunanunua dumu moja la maji 700.
Mh waziri wa Maji naomba ufatilie upatikanaji wa Maji Mitaa hiyo hakuna haja ya kumgombanisha Raisi na wananchi wake.
@Moderators naomba mmtag Waziri Aweso kama yupo humu.
Watu wako pendwaWaziri alishatumbua,maji Bado? ππππ
Wanasiasa ni stupid sana
Una hoja asikilizwe.Rais analaumiwa kwa Ujinga wa aliowateua.Wanamuangusha Sana.Nafikiri tunalalamika sana. Sasa twende hatua moja mbele zaidi.
Wanasheria wa TLS, LHRC nk, watusaidie tufungue kesi mahakamani kutaka mamlaka ziwajibishwe kwa;
1. Kukiuka ibara ya 14 ya katiba ya JMT, inayoeleza; kila mtu ana haki ya kuwa hai na kupata hifadhi ya maisha yake kutoka kwa jamii.
Kwa kuwa maji ni uhai na huwezi kuishi bila maji safi na salama, hivyo upatikanaji wa maji ni sehemu ya msingi ya kulinda haki ya kuishi.
2. Mamlaka ya maji safi na taka ya Mwanza ( MWAUWASA) imekiuka mkataba wake na wateja wa kuwapatia huduma ya maji.
Hivyo, kwa uelewa wangu washitakiwa hapa ni Mkurugenzi wa MWAUWASA kama yeye, Mwauwasa, Ewura na AG.
Tuiombe mahakama itoe adhsbu ya kifungo gerezani kwa Mkurugenzi, huku waliosalia wakilipa fidia kwa wateja kwa usumbufu waliopata na mwisho wahakikishe kuwa huduma hiyo inapatikana bila kusitishwa.
Mimi sio mwanasheria/ wakili lakini nahisi hii itasaidia licha ya mahakama kuendelea kupokea maagizo kutoka juu.
Mawakili karibuni.