A
Anonymous
Guest
Naandika Tatizo hili nikilia maana ni mwaka na zaidi sasa wazazi wangu wanateseka na maji. Ukiangalia tupo karibu ya vyanzo vya maji alafu watu wachache wanafaidi sisi wa hali ya chini tunateseka.
Mwaka jana walifanya kuweka mfumo mpya wa bomba za plastiki mitaani wakasema wakikamilisha wote tutaamishiwa kwenye huo mfumo mpya, cha kushangaza mpaka leo hii walioamishiwa ni matajiri alafu sisi wa kawaida ni vilio. Wazazi wetu wanaenda kuchota maji mbali na ni jambo la kutuweka kwenye mfumo mpya.
Naomba mlifuatilie hili ili tupate unafuu na wazazi wetu wagonjwa wasiteseke.
miezi minne iliopita nilifuatilia barua kata ili watuamishe ila hadi leo kimya. msaada wenu wakuu.