Maji ni muhimu sana kwa maisha ya viumbe hai.
Sasa inapotokea huduma hii haipatikana tena kwa nchi iliyobarikiwa vyanzo vingi vya maji kama Tanzania, natatizika sana moyoni mwangu.
Wenzangu watanzania weusi mliopewa dhamana ya kuzisimamia rasilimali za nchi hii basi niwaombe tu kuwa mtimize wajibu wenu.
Waziri Aweso na watendaji wakuu wote wizara ya maji mlitakiwa hadi muda huu msiwepo ofisini.
Ni ipi fahari yenu na wakati hakuna kazi mnafanya?
Nina siku ya pili siendi chooni. Hakuna kuoga; Napiga mswaki na maji ya Hill.