vipi tukuue uende kwa baba kwenye nchi ya maziwa na asali..?Ikifika hapa ndio huwa nakumbushwa unaishi nchi masikini sana. Tena umasikini wa kujitakia.
Kwa shida hii, naomba niishie hapo. Nadhani watanzania wanaelewa nimeongea nini.Hiyo wizara ifumuliwe na watendaji wake watimuliwe akiwemo waziri mwenye dhamana.
We acha tu. Mtu mweusi hana akili kabisa.Ikifika hapa ndio huwa nakumbushwa unaishi nchi masikini sana. Tena umasikini wa kujitakia.
Mkristo hafi, ameshakufa miaka 2000 iliyopita ππvipi tukuue uende kwa baba kwenye nchi ya maziwa na asali..?
basi kitulize kizazi hapahapa tuishi kama mashetani kwa raha zetu!Mkristo hafi, ameshakufa miaka 2000 iliyopita ππ
Kukumbushana umasikini sio mbaya.basi kitulize kizazi hapahapa tuishi kama mashetani kwa raha zetu!
umaskini ni mbaya...Kukumbushana umasikini sio mbaya.
Goli la mkono halitakuepo?Mwakani tumia akili yako vizuri, kuchagua kiongozi ambaye atashuhulikia na kusimamia changamoto hizi. Miaka zaidi 60 ya uhuru ni aibu kwa taifa kulia lia kwa changamoto kama hizi kwa nchi yenye resources nyingi za maji kama hii.
Bila kuwepo tatizo la maji kwenye kampeni za uchaguzi mkuu watakuahidi nini?Maji ni muhimu sana kwa maisha ya viumbe hai.
Sasa inapotokea huduma hii haipatikana tena kwa nchi iliyobarikiwa vyanzo vingi vya maji kama Tanzania, natatizika sana moyoni mwangu.
Wenzangu watanzania weusi mliopewa dhamana ya kuzisimamia rasilimali za nchi hii basi niwaombe tu kuwa mtimize wajibu wenu.
Waziri Aweso na watendaji wakuu wote wizara ya maji mlitakiwa hadi muda huu msiwepo ofisini.
Ni ipi fahari yenu na wakati hakuna kazi mnafanya?
View attachment 3134196
Nina siku ya pili siendi chooni. Hakuna kuoga; Napiga mswaki na maji ya Hill.
Wewe siyo mwanasiasa ππππSi Bora hata Huyo Waziri, vipi aliyemleta Waziri yeye ndo mnamounaje ama mnaamua kuuzunguka mbuyu kiaina?
Huwa naangalia maji mamilioni ya lita yanayo mwagika baharini kila siku halafu hata hapo beach hakuna maji ya bomba.Maji ni muhimu sana kwa maisha ya viumbe hai.