joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE; Jiji halina mahitaji ya msingi Kama maji, lakini Kuna watu kila siku wanafurahia kuwepo kwa ofisi za UN na makampuni makubwa ya nchi za magharibi, hivi wakenya akili zenu zina matatizo gani?
Tony254
dyfre
NairobiWalker
IamLee
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app