Tatizo la Maji Nairobi; Biashara ya kubadilisha maji kwa Sex yashamiri

@Tony254 unaona faida za siasa za Ujamaa vs Ubepari?. Katika Ujamaa' tunaamini kwamba binadamu wote ni sawa katika mahitaji ya msingi, kwahiyo serikali inawajibika kuhakikisha kwamba, kwa wale watu wa kipato cha chini kabisa, japo wanaweza kupata mahitaji muhimu Kama maji bila kulazimika kuuza miili Yao.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 

Mimi hata sijaangali hiyo doc, maana tayari nimeshindwa kudhibiti hisia zangu. Nimejawa na hasira.
 
Hawa watu they are in love with cosmetic development hiyo ndio mentality yao kuwekeza kwenye vitu muhimu ambavyo vitabeba uchumi hawawezi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…