kilaza mjanja
JF-Expert Member
- Jun 2, 2016
- 654
- 1,144
Ndugu wanajamvi taarifa zinazoenea kwa kasi kwa sasa katika chuo kikuu dodoma ni mpango wa mgomo na maandamano yanayo ratibia na wanafunzi wenyewe kwenda kwa waziri mkuu kwake kufikisha kilio chao.
Chanzo cha uandaaji wa mgomo na maandamano hayo ni UKOSEFU WA MAJI KWA MUDA WA KIPINDI CHA WIKI 2 katika vitivo tofauti tofauti vya chuo kikuu dodoma.
Hali iliopo chuo kikuu dodoma kutoka kwenye vyanzo ni kuwa wanafunzi washindwa kuoga na wengine kupata huduma za haja kutokana na ukosefu wa MAJI.
Taarifa tulizozipokea ni kuwa vyoo vya chuo kikuu UDOM vimejaa vinyesi pamoja na hata nje ya vyoo vimejaa vinyesi kwa upande wa hostel za wasichana kwa wavulana kutokana na ukosefu wa MAJI.
Pia taarifa nyingine ni kuwa ni kwa sasa wanafunzi wa chuo hicho wanajisaidia kwenye vichaka vinavyo kizunguka chuo hicho kutokana na ukosefu wa MAJI uliokisiri chuoni hapo.
Vikundi hivyo vya wanafunzi kutokea vitivo tofauti tofauti wakihojiwa kwa nyakati tofauti tofauti walikuwa na haya ya kusema. Mwanafunzi mmoja ambae pia ni kiongozi wa serikali ya wanafunzi alietambulika kama waziri wa maji na makazi ajulikanae kwa jina la Juma Juma alisikia akisema "tumechoshwa na uongozi wa chuo hiki kwani swala la maji tulisha lipeleka mara kwa mara ila hakuna majibu ya maana hivyo tunajiandaa kwenda waziri mkuu kwani yupo dodoma kwa sasa" alisikika mwanafunzi huyo akilieleza hilo.
Pia mwanafunzi mwingine ajulikanae kwa jina la Ramadhani athumani ambae na yeye ni kiongozi katika serikali ya wanafunzi alisikika akisema "nimesha ongea na mama stella manyanya kama naibu waziri mwenye dhamana ya elimu kumueleza hili kwani chuo hiki kimejaa miungu watu hivyo kwa sasa serikali itaingilia kati kwani tumechoka" ilisema taarifa hiyo.
Alipo fatwa afisa afya wa manispaa wa dodoma alisema kwa ufupi kuwa matatizo ya UDOM tunayo na tunayafanyia kazi kwa sasa soon yatafikiwa.
Ulipo uliziwa uongozi wa chuo kupitia ofisi ya habari na mahusiano UDOM msemaji wa chuo alie fahamikamkwa jina moja beatrice alisema kuwa kwa sasa chuo kina deni kubwa na DUWASA wapo kwenye maridhiano na maji yatatoka pale maafikiano yatakapo fikiwa.
Taarifa zilizopo ni kuwa wanafunzi wameshaanza kuchonga mabango na wengine hasa wasichana wameshaanza kukimbia chuo na kwenda mjini kwa kuhofia machafuko makubwa yaliopangwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii kwa mujibu wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu Dodoma.
Chanzo: serikali ya wanafunzi UDOM (UDOSO).