Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,602
- 5,809
Habari za Jioni.
Naomba kuwasilisha kilio cha Tatizo la Maji Wilaya ya Sengerema. Ni takribani Miezi mitatu sasa kumekuwa na tatizo Sugu la Maji.
Maji yanatoka siku moja, yanakatika Wiki 2. Sengerema ni Wilaya ambayo ipo Jirani na Ziwa Victoria, imezungukwa na Ziwa Victoria. Hakuna sababu ya wakazi wa Sengerema kuteseka kisa Maji.
Nawasilisha.