Tunatia aibu sana sisi waafrika,ndio maana tunadharauliwa sana na ngozi nyeupeNi jambo la Kushangaza sana
... mayahudi ungewakabidhi mkoa kama Dodoma tunaoamini ni mkoa kame kabisa nchini ukawa kama nchi yao; ndani ya miaka 10 tu itakuwa nchi inayoongoza duniani kwa export ya matunda, nyama, ndizi, maziwa, leather products, fresh drinking water, na uranium iko hapo Bahi daaah! Utajiri wa bure kabisa; wangeuza umeme Afrika nzima. Ngozi nyeusi bure kabisa!Duh, sijui wanaoishi jangwani wanatuonaje.
We acha tu,sijui tuna laana gani... mayahudi ungewakabidhi mkoa kama Dodoma tunaoamini ni mkoa kame kabisa nchini ukawa kama nchi yao; ndani ya miaka 10 tu itakuwa nchi inayoongoza duniani kwa export ya matunda, nyama, ndizi, maziwa, leather products, fresh drinking water, na uranium iko hapo Bahi daaah! Utajiri wa bure kabisa; wangeuza umeme Afrika nzima. Ngozi nyeusi bure kabisa!
Ndio huko.kwenye sekta ya maji ndio kuna upigaji wa kufa mtu, waziri wake mihemko mingi sana lakini hakuna kitu!!ni uozo mtupu, hapo sengerema alikuja akawatia ndani viongozi wa mamlaka ya maji, akasema kuwa wanamfanyia hujuma!!je na hao aliowaweka nao ni hujuma??anaenda sehemu anatoa siku tatu maji yatoke, huku ukiangalia kazi iliyopo hata ndani ya wiki tatu haiwezi kuisha, ili kwenye tv aonekane anafanya kazi!!!huko ndio kuna yule mbunge aliewaambia wasomi ajira hakuna?
Amewatia ndani ndio tatizo limekuwa kubwa zaidi. Mwanzoni maji yalikuwa yanakatwa kila siku Saa 4 Usiku mpaka Saa 12 Asubuhi.Ndio huko.kwenye sekta ya maji ndio kuna upigaji wa kufa mtu, waziri wake mihemko mingi sana lakini hakuna kitu!!ni uozo mtupu, hapo sengerema alikuja akawatia ndani viongozi wa mamlaka ya maji, akasema kuwa wanamfanyia hujuma!!je na hao aliowaweka nao ni hujuma??anaenda sehemu anatoa siku tatu maji yatoke, huku ukiangalia kazi iliyopo hata ndani ya wiki tatu haiwezi kuisha, ili kwenye tv aonekane anafanya kazi!!!
... huyu ndiye yule aliomba mwongozo wa mavazi ya yule mdada mbunge wa Momba? Kama ndiye, hamna kitu mule; mmeula wa chuya!Mh. Hamisi Tabasamu, tunamuomba aliingilie hili Swala. Wakazi wa Sengerema tunateseka sana.
Huwezi kutatua tatizo la kiufundi kwa matamko ya kisiasa!!halafu cha ajabu kwenye awamu ya tano waziri wake, Aweso alionekana kama shujaa kwa meko kwa kujisifia kuwa kero za maji zimepata dawa!!lakini kumbe sivyo!!hadi MH SAMIA, alipomwambia ukweli kuwa haridhishwi na wizara hiyo!!sasa kila leo ni kukimbia kimbia tu, na kufukuza watendaji ovyo tu.lakini matatizo yako vile vileAmewatia ndani ndio tatizo limekuwa kubwa zaidi. Mwanzoni maji yalikuwa yanakatwa kila siku Saa 4 Usiku mpaka Saa 12 Asubuhi.
Lakini Siku hizi yana katika hata Mwezi Mzima hakuna Maji. Wakati Sengerema imezungukwa na ziwa Victoria.
Katika Mawaziri Janja Janja ni pamoja na huyu Jamaa.....Huwezi kutatua tatizo la kiufundi kwa matamko ya kisiasa!!halafu cha ajabu kwenye awamu ya tano waziri wake, Aweso alionekana kama shujaa kwa meko kwa kujisifia kuwa kero za maji zimepata dawa!!lakini kumbe sivyo!!hadi MH SAMIA, alipomwambia ukweli kuwa haridhishwi na wizara hiyo!!sasa kila leo ni kukimbia kimbia tu, na kufukuza watendaji ovyo tu.lakini matatizo yako vile vile