Tatizo la mambo ya mapenzi (tamaa)....angalizo!!

sasa mbona yule mheshimiwa sana, waziri mkuu wa Italy yeye anapeta tu?
 
watu weusi tunafatilia maisha binafsi ya mtu badala ya kujali utendaji kazi wake:rain:
 
unahakika na usemayo! ebu kumbuka climton ilikuwaje, wazili mkuu itali je? nk
 
Back
Top Bottom