Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,526
Shukrani kiongozi , mashine yangu kazi yake ni kusambaza umeme kwa wateja kwa muda wa masaa 4 kamili kuanzia saa 1 na nusu mpaka saa 5 na nusu.Pole, ungeeleza mashine hiyo inafanya shughuli gani specific, mfano: kusaga unga, kusaga mawe ya dhahabu, kusaga chokaa au kwa umwagiliaji n.k, watu wangejitokeza direct na ushauri specific kwa kazi husika.
Shukrani kiongozi , mashine yangu kazi yake ni kusambaza umeme kwa wateja kwa muda wa masaa 4 kamili kuanzia saa 1 na nusu mpaka saa 5 na nusu.
Kiongozi mashine yangu ni ya kawaida inatumika kuzungusha mota ya umeme na upatikanaji wa umeme ndio hutokea , ni house power 24 made in china.Ok, kwa maelezo hayo tu yatasaidia wajuvi wa mambo ya umeme kukuelezea. Japo pia kuna namna ya kuwasaidia wakurahisishie kukuelewesha. Ukisema Mashine JD tuu hujaeleweka.
Elezea ni Power Generator machine, JD (John Deere), Model gani, Watt ngapi (eg 1000W to 10,000W), na Horse power(HP) gani eg 10Hp - 30Hp. Made where, cause kuna China, America, etc. Ukitoa mchanganuo huo nakuhakikishia within short time utapata majibu kwa wataalamu.
Mimi si mtaalam wa hayo ila baadhi nazijua, hasa za kusaga mawe, chokaa, ambazo zina pulling tofauti na hii ya kugenerate umeme tuu.
Kingine huenda machine yako
(Generator) imechoka na kuzidiwa mzigo, toka 2012 till now ni miaka 5, so kuna kuchoka baadhi ya vitu hata ukitengeneza na hasa ukakosa fundi mzuri itakupa taabu. So tafuta fundi mzuri afanye uchunguzi zaidi.
Ni hayo tuu.
Kiongozi mashine yangu ni ya kawaida inatumika kuzungusha mota ya umeme na upatikanaji wa umeme ndio hutokea , ni house power 24 made in china.