Habari zenu,
Naombeni msaada mke wa rafiki yangu amekuwa na tatizo la KUJAA mate mdomoni, nilipoambiwa nilidhani ni dawa anazotumia zinasababisha, kifupi anatibiwa afya ya akili pale Muhimbili so kuna madawa anatumia mengi tu, ila kuna wakati ana kuwa kawaida ila naona yameanza tena wiki chache zilizopita, nikamshauri aende hospitali. Juzi kaenda Daktari kamwambia ni grand zake zinazalisha mate yaani uzalishaji upo juu sana inabidi sindano.
Naombeni ushauri jamani tumsaidie