Umetoa maelezo mazuri sana mkuu,,,usijihangaishe sana mkuu haupo nje na makisio yako ni hizohizo dawa anazotumia achana na huyo dr uchwara anaesema anahitaji sindano hapo ni kumuongezea tatizo tu,,,kama dawa zenyewe ni kati ya hizi haloperidol, amytripytline, zipo na zingine. Hizi kazi yake zinakata baazi ya mifumo ya fahamu inakuwa haifanyi kazi,,ikitokea ikakata mfumo wa kukontrol gland za mate ndo hutokea mate kutoka bila mpango niliwahi tumia dawa kama izo zilinifanya ubongo kama unatikisika nikitikisa kichwa kama hajaharibika sana kiakili astop tu kuzitumiaHabari zenu, naombeni msaada mke wa rafiki yangu amekuwa na tatizo la KUJAA mate mdomoni, nilipoambiwa nilidhani ni dawa anazotumia zinasababisha, kifupi anatibiwa afya YA akili pale muhimbili so kuna madawa anatumia mengi tu, ila kuna Wakati Ana kuwa kawaida ila naona yameanza tena wiki chache zilizopita, nikamshauri aende hospital juzi kaenda Dr kamwambia ni grand zake zinazalisha mate yaani uzalishaji upo juu sana inabidi sindano
Naombeni ushauri jamani tumsaidie
Azingatie katika haya maelezo piaHizo ni extra pyramidal side effect za Haloperidol ( most likely). Abadilishe dawa atumie mbadala
Asiache ila atumie Olanzapine km mbadalaUmetoa maelezo mazuri sana mkuu,,,usijihangaishe sana mkuu haupo nje na makisio yako ni hizohizo dawa anazotumia achana na huyo dr uchwara anaesema anahitaji sindano hapo ni kumuongezea tatizo tu,,,kama dawa zenyewe ni kati ya hizi haloperidol, amytripytline, zipo na zingine. Hizi kazi yake zinakata baazi ya mifumo ya fahamu inakuwa haifanyi kazi,,ikitokea ikakata mfumo wa kukontrol gland za mate ndo hutokea mate kutoka bila mpango niliwahi tumia dawa kama izo zilinifanya ubongo kama unatikisika nikitikisa kichwa kama hajaharibika sana kiakili astop tu kuzitumia
Ni mke wangu nimedanganya naomba nisamehe kama nimekukwaza, nimejaribu kuitumia njia ya rafiki tuMke wa rafiki yako duh aiseee watu mna ukaribu sana
Asanteni sana, nimeshamshauri amuombe Dr ambadilishie hizo dawa japo Anasema hizi dawa zipo na mavitu ya ajabu mwanzo hadizikuzoee, nashukuru kwa michango yenu nyoteUmetoa maelezo mazuri sana mkuu,,,usijihangaishe sana mkuu haupo nje na makisio yako ni hizohizo dawa anazotumia achana na huyo dr uchwara anaesema anahitaji sindano hapo ni kumuongezea tatizo tu,,,kama dawa zenyewe ni kati ya hizi haloperidol, amytripytline, zipo na zingine. Hizi kazi yake zinakata baazi ya mifumo ya fahamu inakuwa haifanyi kazi,,ikitokea ikakata mfumo wa kukontrol gland za mate ndo hutokea mate kutoka bila mpango niliwahi tumia dawa kama izo zilinifanya ubongo kama unatikisika nikitikisa kichwa kama hajaharibika sana kiakili astop tu kuzitumia
Habari mkuu. Naomba kuuliza,mkeo anasumbuliwa na nini hasa? Naweza kusaidia kama ni issue za depression, anxiety and other mental disorders.Asanteni sana, nimeshamshauri amuombe Dr ambadilishie hizo dawa japo Anasema hizi dawa zipo na mavitu ya ajabu mwanzo hadizikuzoee, nashukuru kwa michango yenu nyote
Asanteni, sasa kichekesho kama siyo masikitiko, usiku wa kuamkia jana aliumwa kichwa sana hadi kupata usingizi usiku akaupata asubuh akaamka saa tisa alasiri akafanya shughuli na kupika akawa na shida ya mate tu, kufika saa tano usiku kikaanza kichwa alipolala kitandani akaanza kupata maumivu KWENYE mbavu, usingizi kama alipata ni saa kumi alfajiri ila nadhani ataenda Leo kumuona Dr japo yeye ANATAKA sindano ya maumivu tu, nitakuja na ombi lingine humu maana anachangamoto nyingi Figo moja ilitolewa kisa ilipata uvimbe kidogoAzingatie katika haya maelezo pia
Asanteni, sasa kichekesho kama siyo masikitiko, usiku wa kuamkia jana aliumwa kichwa sana hadi kupata usingizi usiku akaupata asubuh akaamka saa tisa alasiri akafanya shughuli na kupika akawa na shida ya mate tu, kufika saa tano usiku kikaanza kichwa alipolala kitandani akaanza kupata maumivu KWENYE mbavu, usingizi kama alipata ni saa kumi alfajiri ila nadhani ataenda Leo kumuona Dr japo yeye ANATAKA sindano ya maumivu tu, nitakuja na ombi lingine humu maana anachangamoto nyingi Figo moja ilitolewa kisa ilipata uvimbe kidogo
Habari zenu,
Naombeni msaada mke wa rafiki yangu amekuwa na tatizo la KUJAA mate mdomoni, nilipoambiwa nilidhani ni dawa anazotumia zinasababisha, kifupi anatibiwa afya ya akili pale Muhimbili so kuna madawa anatumia mengi tu, ila kuna wakati ana kuwa kawaida ila naona yameanza tena wiki chache zilizopita, nikamshauri aende hospitali. Juzi kaenda Daktari kamwambia ni grand zake zinazalisha mate yaani uzalishaji upo juu sana inabidi sindano.
Naombeni ushauri jamani tumsaidie
Tunajuaa, wala usijali.Ni mke wangu nimedanganya naomba nisamehe kama nimekukwaza, nimejaribu kuitumia njia ya rafiki tu
Salama, nitashukuru sana Ana depression hisitoshe anahishi na Figo moja so kuna dawa anaziogopa yaani kwa kifupi imemletea magonjwa mengi sana yaani anaweza kukaa kichwa na mbavu vikamuuma sana hata siku 2, jana alienda hospital hakuna shida yaani hatuelewi uchawi au nini?Habari mkuu. Naomba kuuliza,mkeo anasumbuliwa na nini hasa? Naweza kusaidia kama ni issue za depression, anxiety and other mental disorders.
Asante sweet candy, kama unayemtaalamu wa hizi mambo naomba nisaidia no location na jina lakeHiyo ni dalili za usukule ndio maana hana akili nzuri kuwa serious ,ombeni au mpelekeni kwa mtaalamu huyo ni kimbola
Mimi labda nikipata namba ya padri aliyemwombea mwanadada fulani nitakupa ila humu omba huo msaada utasaidiwa . Hata leoAsante sweet candy, kama unayemtaalamu wa hizi mambo naomba nisaidia no location na jina lake