Churamagamba
Member
- Dec 25, 2013
- 36
- 5
Poleni kazi! ni tangu usichana wangu matiti yangu yamekua yakitoa vimajimaji, nlishawai kwenda hosp tofauti tofaut lkn tatizo lipo palepale. ila hakuna maumivu yoyot, na si mjamzito
Mkuu Churamagamba njoo umjibu Mkuu Bariadikwetu ili msaada utolewe haraka kwa tatizo lako ama uko PM
Bado hajaja PM, ila kwa faida ya wote aje tu hapa huyu chura tumvue magamba
Sasa nina miaka 28, na hedhi yangu ni ya kawaida
Nilivunja ungo nikiwa nga miaka 13, mavuzi yapo kwa kiasi, hapo maji hayanag harufu wala rangi yoyote, na nina matiti madogo, na ni mnene japo si sn, msaadap tafadhal
Mh mwekundu ct scan tenaa. Mm kuna kipnd yanatoa maji na nikiendelea kuyabinya after smtym yanatoa maziwa maziwa. Kuna kipndi yanakauka kabisaaa . My days are not stable . Normal bleed. It started aftee using power safe injections. Pls advc me.. halafu pia ina madhara maana ni kama mwka wa pili sasa