Tatizo la matiti

Tatizo la matiti

lovely097

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
277
Reaction score
147
Kwa kawaida wanawake matiti hutofautiana kwa ukubwa ingawa Sio sana kuonekana,

Lakini kuna tofauti Hiyo huzidi mfano titi moja limesimama lingine kandambili kabisa, je ni tatizo gani? Msaada plz
 
mwambie shemeji awe anayanyonya yote kwa uwiano sawa! sio moja analionea zaidi.
 
Kwa kawaida wanawake matiti hutofautiana kwa ukubwa ingawa Sio sana kuonekana,

Lakini kuna tofauti Hiyo huzidi mfano titi moja limesimama lingine kandambili kabisa, je ni tatizo gani? Msaada plz

Tumia tu hata vibania ili yawe sawa na kisha mwambie mmiliki awe anayanakshi yote kwa usawa na asiwe anayavuta kama ng'ombe anavyonyonya awe anajitaidi kulibugia kimtindo pasipo kuyavuta
 
Pole sana, Ila nenda hospital kwa uchunguzi zaidi usikae tu home kusubilia ushauri ni watu wachache sana wanaofahamu kuhusu matiti.
 
Back
Top Bottom