PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Waswahili walisema Ukipanda mchicha usitegemee kuvuna mahindi. Huu ni usemi Ambao unadhihirika kwenye timu yetu ya Simba.
1. UBAHILI
2. KIBURI
3. KUTOKUSIKILIZA USHAURI
Hakuna timu Ambayo imesajili quality players Isipate matokeo Mazuri Uwanjani. Ukisajili vizuri utapata matokeo mazuri.
UBAHILI na kutokua na maamuzi ya haraka kwenye usajili ndio chanzo cha kupata wachezaji kama wakina sawa dogo. Ili upate wachezaji wazuri ni lazima utumie hela.
Tulimkosa Adebayo, Manzoki, Azizik pamoja na Khalid Aucho kwa sababu ya UBAHILI na Uzembe wa VIONGOZI.
Hatuwezi kumbebesha msalaba coach wakati tunajua kabisa kwamba hatuna wa chezaji wazuri kama walio nao Yanga.
KIBURI
Nakutikuwasikiliza washabi juu ya Coach wa viungo ndio matokeo ya Wachezaji kukosa Fitness uwanjani.
Tulipiga kelele mrudisheni Zerane Yule bwana Aliwatengeneza wachezaji ubora na utimamu wa mwili wachezaji wakawa na ubora kwa miaka 4 mfululizo mkaziba masikio.
Hivi kweli Unamwacha Tadeo lwanga unamsajili sawadogo?
Nimalizie kwa kusema kama VIONGOZI watazidi kuwa na viburi na UBAHILI basi Yanga Atachukua Ubingwa hata x 10 Mfululizo.
Yanga wana VIONGOZI smart sana na wanajua nini Maana ya Quality players. Sisi Midomotu.